Raha

LIMANYE

Member
Nov 16, 2012
24
1
Habari zenu wa JF wenzangu! dah kumbe ukipata anaekupenda kwa dhati na si unaempenda kwa dhati raha sana eeeh mwenzenu nilikuwa sijawahi kulijua hili.
 
Habari zenu wa JF wenzangu! dah kumbe ukipata anaekupenda kwa dhati na si unaempenda kwa dhati raha sana eeeh mwenzenu nilikuwa sijawahi kulijua hili.

ila sasa ikitokea akakuwahi kukutema - utaumia sana.
 
kumbe ndivyo inavyokua!

Inakubidi upende, upendwe pia, na mahusiano yenu yawe kwenye misingi inayoeleweka. Kama ni kuoana ijulikane. Kama anajiweza anahitaji akuzalie mtoto - ieleweke, kama ni kuwa washirika kwenye biashara; ieleweke; kama ni mambo ya kujirusha viwanja - huo ni upuuzi tu.
 
Raha mwanzoni tu, akianza kukusumbua unakoma

yatakapofikia mapenzi; maudhi yatakuwa zaidi ya hapo - mweleze huyu jamaa yetu yasije mkuta akaja analialia hapa. Tunayemwambia hivyo tuna uzoefu ndo maana hatushabikii tena kitu mapenzi. Binafsi niliwahi kushindwa hata kufanya kazi, nikaptea hata kwa washkaji zangu wa karibu; walininyamazia kimya wakijua ni maji ya moto - yatapoa tu, yalivyopoa nilijiona kama nilokuwa nimelogwa. CHEZEA MALOVEE WEWE!
 
Habari zenu wa JF wenzangu! dah kumbe ukipata anaekupenda kwa dhati na si unaempenda kwa dhati raha sana eeeh mwenzenu nilikuwa sijawahi kulijua hili.

ila kaa ukijua ukimpata anayekupenda halafu ukamtenda na akakuacha! hapaswi yeye kujuta ila anayepaswa kujuta ni wewe!!!!!!
 
Back
Top Bottom