Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,990
- 144,321
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuu!!umewaza parefu sana mkuu,kwangu mimi hii ni the best thread of the day.tunaweza kupinga uwepo wa Mungu kwa nguvu zote lakini kwenye hoja kama hii ujanja wote kwisha,kusema ukweli ni lazima kunaye creator mwenye uwezo wa ajabu aliyeweza kubuni na kubalance haya mambo.