Raha ya tendo la ndoa ni uthibitisho kuwa maneno ya kwenye Biblia yana ukweli na kwamba yametoka kwa Mungu/Nature

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,318
kuna haya maneno katika kitabu cha Mwanzo yanayosomeka hivi:

Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Hapa ndipo mtu unapopaswa kujiuliza ni kwanini tendo la ndoo/kujamiiana linaambatana na starehe/burudani kwa viumbe karibu wote?

Kwa upande wangu,naweza kusema lengo la kuwepo burudani katika hili tendo ni ili kutekeleza agizo hili la Mungu/Nature na si vinginevyo kwani bila uwepo wa raha ya tendo la kujamiiaana,huenda kuzaliana kusingekuwepo kwa kiwango cha kuijaza dunia hasa kwa wanyama ambao sidhani kama hata wangezaliana kabisa na hapa ndipo unaona maneno haya ya kwenye Biblia yanapata ushahidi kwani alieumba viumbe hai hawa ndio pia alieumba/kutengeneza raha ya tendo la kujaamiiana.

Picha nyingine ninayoipata ni kuwa moja ya makusudio makubwa ya Mungu/Nature ni kuona huu ulimwengu unakuwa na viumbe hai wakati wote na ili hili litimie,ndio maana akaweka burudani ya tendo la kujamiiana burudani ambayo viumbe hai hawawezi kuiepuka.

Labda jiulize hali ingekuwaje au nini kingetokea,hasa kwa wanyama,kama tendo hili la kujamiana lisingekuwa na raha/burudani ndani yake.

Jibu rahisi hapa ni kuwa moja ya priorities kubwa za muumba/nature ni kuhakikisha hii dunia kamwe haiwi na ombwe la viumbe hai ila ni kwasababu gani,hili nalo ni swali la kujiuliza.

Sijui wewe mwenzangu mpaka hapa unaonaje.
 
kuna haya maneno katika kitabu cha Mwanzo yanayosomeka hivi:

Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Hapa ndipo mtu unapopaswa kujiuliza ni kwanini tendo la ndoo/kujamiiana linaambatana na starehe/burudani kwa viumbe karibu wote.

Angalau umempumzisha magufuli leo maana kila sredi yako kumponda tu
 
Kila kitu Mungu kakipangilia kwauwezo ambao huwezi kuuelezea! Mfano kama chakula!

Sijui ingekuwa vipi kama ukila hupati ile test ya kula yaani chakula hakina ladha unakula tu kujaza tumbo! Nadhani wengi tungekufa kwa njaa🤣🤣

Ingekuwa vipi kama watu wasinge kuwa wanapata usingizi? Ingekuwa vipi kama ukiumia husikia maumivu? Kwa kweli viungo vetu vyamwili vingeisha kwa majeraha.
Sifa na utukufu ni wake milele 🙏
 
Na raha hio iko kwa pande zote mbili mwanamke na mwanaume.Kusema kweli ni moja ya burudani haswa.Halafu dunia imejaa wanawake wazuri.Mtoto wakike katengenezwa kiumaridadi kila mwanaume ana type yake anayoitamani.Hakika mahali nilipomuona Mungu ni mkubwa ni namna alivyomtengeneza mwanamke...Mwanamke kawekwa vizuri mlaini,,anaringa,,staki nataka,,anapenda kweli kweli.
Nyumba bila mwanamke inakuwa chafu,,kimya,,hakuna wa kupika mapokopoko na mahanjumati...kitandani ndio anatukomesha Kabisa....Ama kwa hakika mwanamke sifa zake ni nyingi...Na Mungu ana maksi za kutosha kwa huyu kiumbe ambae dunia imeharibu uzuri wake.
 
Kuzaliana ni jambo la kawaida na la asili kwa aina zote za uhai ili kudumisha uendelevu

Kusema Mungu alitoa kauli juu ya hilo ni kumlazimisha kunakotokana na upofu wa mahaba ya kiimani

Hata ukidaiwa ushahidi juu ya huyo mungu kutamka maneno hayo huna

Tena yawezekana kuna mlevi wa mahaba aliyekutangulia ndiye aliyeamua kumlishia maneno huyo mungu na nyie mkayameza tu
 
kuna haya maneno katika kitabu cha Mwanzo yanayosomeka hivi:

Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Hapa ndipo mtu unapopaswa kujiuliza ni kwanini tendo la ndoo/kujamiiana linaambatana na starehe/burudani kwa viumbe karibu wote.

Kwa upande wangu,naweza kusema lengo la kuwepo burudani katika hili tendo ni ili kutekeleza agizo hili la Mungu/Nature na si vinginevyo kwani bila uwepo wa raha ya tendo la kujamiiaana,huenda kuzaliana kusingekuwepo kwa kiwango cha kuijaza dunia hasa kwa wanyama ambao sidhani kama hata wangezaliana kabisa na hapa ndipo unaona maneno haya ya kwenye Biblia yanapata ushahidi kwani alieumba viumbe hai hawa ndio pia alieumba/kutengeneza raha ya tendo la kujaamiiana.

Picha nyingine ninayoipata ni kuwa moja ya makusudio makubwa ya Mungu/Nature ni kuona huu ulimwengu unakuwa na viumbe hai wakati wote na ili hili litimie,ndio maana akaweka burudani ya tendo la kujamiiana burudani ambayo viumbe hai hawawezi kuiepuka.

Labda jiulize hali ingekuwaje au nini kingetokea,hasa kwa wanyama,kama tendo hili la kujamiana lisingekuwa na raha/burudani ndani yake.

Jibu rahisi hapa ni kuwa moja ya priorities kubwa za muumba/nature ni kuhakikisha hii dunia kamwe haiwi na ombwe la viumbe hai ila ni kwasababu gani,hili nalo ni swali la kujiuliza.

Sijui wewe mwenzangu mpaka hapa unaonaje.

Lina raha gani wakati ndio tendo linaloongoza kuua VIJANA wasio na hatia, na kuwapa maradhi yanayoambatana na Stress wanandoa???
Ni heri kuishi kama watawa na mapadre ili kumtumikia bwana
 
Na raha hio iko kwa pande zote mbili mwanamke na mwanaume.Kusema kweli ni moja ya burudani haswa.Halafu dunia imejaa wanawake wazuri.Mtoto wakike katengenezwa kiumaridadi kila mwanaume ana type yake anayoitamani.Hakika mahali nilipomuona Mungu ni mkubwa ni namna alivyomtengeneza mwanamke...Mwanamke kawekwa vizuri mlaini,,anaringa,,staki nataka,,anapenda kweli kweli.
Nyumba bila mwanamke inakuwa chafu,,kimya,,hakuna wa kupika mapokopoko na mahanjumati...kitandani ndio anatukomesha Kabisa....Ama kwa hakika mwanamke sifa zake ni nyingi...Na Mungu ana maksi za kutosha kwa huyu kiumbe ambae dunia imeharibu uzuri wake.
Na pia ameharibu dunia
 
umewaza parefu sana mkuu,kwangu mimi hii ni the best thread of the day.tunaweza kupinga uwepo wa Mungu kwa nguvu zote lakini kwenye hoja kama hii ujanja wote kwisha,kusema ukweli ni lazima kunaye creator mwenye uwezo wa ajabu aliyeweza kubuni na kubalance haya mambo.
 
Back
Top Bottom