Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,702
- 45,045
Kama leo umeme ulivyozingua basi hiki kimeo kikaniokoa.
Utoto bhana
Amini nakuambia, sikuwa nimezitilia maanani hizo pesa niliona kama makaratasi tu ya kawaida ila nimerudi tena kuangalia baada ya kusoma komenti yakoAnakutangazieni kwamba ana hela dogo!
I'd yako inajielezanikicomment hapa watasema mimi hater
Usichukulie siriaz kila kitu mkuuutakuwa mwanaume wa dar wewe si kwa ushamba huo.
Daah mkuu shukrani ila hapa nilitaka nichangamshe genge la chit chat tuNingekupiga dongo ila nakuheshimu kwa sababu ya posts zako za michezo.
mpeni dogo hongeraAnakutangazieni kwamba ana hela dogo!
nikicomment hapa watasema mimi hater
I'd yako inajieleza
Mbona kama unateseka? Ngoja niendelee kukukera. Mnataka kila saa tuwe siriaz?mpeni dogo hongera
mwacheni aburudishe moyo wake mwenzako anasikia raha kweli. unakuta ndo hela ya kwanza kuipata au kadunduliza mpka ikifika hiyoo.