Raha ya Nazi Bwana jua Matumizi yake

Binti1

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
662
1,745
Wengi huwa wanalalamika kwasababu hawajui matumizi ya nazi. Nazi si ya mboga tu...ina matumizi mengi.

Wanasema mchagua Nazi hupata koroma...Lakini wanasahau koroma hilo linakazi nyingi; unaweza tengeneza mafuta ya ngozi na pia kifuu ukatengenezea upawa kwa hiyo hiyo koroma!!Haiwezekani kabisa uwe na nazi ikose kazi. Labda uwe hujui matumizi yake. Ndo maana ukitupa kifuu mwenzako anakiokota.

Na kama machicha hutatengenezea scrub wenzako wanawapa kuku. Upo?Usiseme Nazi mbovu.. Sema sijui matumizi ya Nazi.Tatizo la wengi ujuaji mwingi. Mnajua Nazi tu kazi yake ni kupikia hata ukiivunja vibaya tafuna basi.

Wenzako wakisema yule kapata koroma wewe aaaaaa na koroma lko lakini unajipatia, mafuta, upawa ama la wawashia moto.Na kuna watu sio wajuzi wa kupasua nazi, anaipasua inapasuka vipande vipande; kifuu kinapasuka nazi haikuniki basi halimboga.Khaaa!!!Weee.. vipande hivyo vinapasha moto hizo nazi unaweza kuzicratee ukatengeneza kashata.
Maji ya nazi unaweza pia kunywa ukatuliza kiu yako.

Jamani nazi zinamatumizi mengi......
Sasa wengi wanalalamika nazi mbovu, kumbe wao ndo hawawezi kutumia nazi.
(Kwa hisani ya Irene Mbowe).
 
Wenzako wakisema yule kapata koroma wewe aaaaaa na koroma lko lakini unajipatia, mafuta, upawa ama la wawashia moto.Na kuna watu sio wajuzi wa kupasua nazi, anaipasua inapasuka vipande vipande; kifuu kinapasuka nazi haikuniki basi hali mboga.Khaaa!!!Weee.. vipande hivyo vinapasha moto hizo nazi unaweza kuzicratee ukatengeneza kashata.
Maji ya nazi unaweza pia kunywa ukatuliza kiu yako.
Jamani nazi zinamatumizi mengi......
Sasa wengi wanalalamika nazi mbovu, kumbe wao ndo hawawezi kutumia nazi.
(Kwa hisani ya Irene Mbowe).
hujamalizia kitu hapo.........
 
Ujumbe huu ukute unausikiliza live kutoka kwa mwana mama alietoka Tanga...Kidole ye anaweka juu kama anakusuta hafu kavaa dira kalichomeka ndani ya ile nguo upande wa kulia na kushoto.....Lazima uondoke..
 
Wengi huwa wanalalamika kwasababu hawajui matumizi ya nazi. Nazi si ya mboga tu...ina matumizi mengi.

Wanasema mchagua Nazi hupata koroma...Lakini wanasahau koroma hilo linakazi nyingi; unaweza tengeneza mafuta ya ngozi na pia kifuu ukatengenezea upawa kwa hiyo hiyo koroma!!Haiwezekani kabisa uwe na nazi ikose kazi. Labda uwe hujui matumizi yake. Ndo maana ukitupa kifuu mwenzako anakiokota.

Na kama machicha hutatengenezea scrub wenzako wanawapa kuku. Upo?Usiseme Nazi mbovu.. Sema sijui matumizi ya Nazi.Tatizo la wengi ujuaji mwingi. Mnajua Nazi tu kazi yake ni kupikia hata ukiivunja vibaya tafuna basi.

Wenzako wakisema yule kapata koroma wewe aaaaaa na koroma lko lakini unajipatia, mafuta, upawa ama la wawashia moto.Na kuna watu sio wajuzi wa kupasua nazi, anaipasua inapasuka vipande vipande; kifuu kinapasuka nazi haikuniki basi halimboga.Khaaa!!!Weee.. vipande hivyo vinapasha moto hizo nazi unaweza kuzicratee ukatengeneza kashata.
Maji ya nazi unaweza pia kunywa ukatuliza kiu yako.

Jamani nazi zinamatumizi mengi......
Sasa wengi wanalalamika nazi mbovu, kumbe wao ndo hawawezi kutumia nazi.
(Kwa hisani ya Irene Mbowe).
"Inaonekana jikoni unayaweza sana, sijui kwanini niliwahi kuoa.."
 
Mmmmh hata kuvunja kweny njiapanda bado naz inatumika looool,,,, nazi bhana ina matumiz haswaaa
 
Back
Top Bottom