Division of labor, Mimi niko busy na mama yako, akiwa stressed kidogo tu, wee huendi haja kubwaWe unasifia wenzako nyie ndo wasindikizaji tu!
Wachawi wanajuana, niambie leo tunakuta wapi?Wachawi mmeanza.
😂😂😂😂Zama mzimamzima, ufe mzimamzima......tukuzike mzimamzima.
Tia nyama kidogo mkuu
Ndio anachokitafuta huyo
Nishatia pumzi we tia nyama ya kienyeji
Atakuja na uzi wake wakusema wanawake sio watu sijui walipewa code na shetaniNdio anachokitafuta huyo
Wanawake ni viumbe watamu ukijua kuwatumia halafu hisia za mapenzi usipojua kuziendesha utaumia wewe! Namaana utamu na uchungu wa mapenzi ni wewe mwenyewe chagua moja.Atakuja na uzi wake wakusema wanawake sio watu sijui walipewa code na shetani
Kumbe yeye mwenywe ni mwanakulitafuta
Hapo umetumia BUSARA , ukitumia HEKIMA Mapenzini unawekeza kucha na nywele tu, hata vikikatwa vitaota tena. Moyo haujawahi kuwa na spea. Utatapika firigisi bure