Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

Lager

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
389
1,075
Kuingia mzimamzima ndio utamu wake ni kama dimbwi unajitupia tu pwaaaaa!

Sio unaingia kwenye mapenzi mguu nje mguu ndani,hiyo haifai hutafaidi na unakuwa unajishitukia na hofu zisizomaana!.
Hata Kama ni ya uongo we ingia mzimamzima tu ule mema ya dunia maisha ni mafupi haya ukizubaa yatakukula wewe na sura lako!.

Isipokuwa tu, unapoingia mzimamzima mambo yakiharibika ujue na kutoka mzimamzima ukizubaa tu ukatoka kama kinyonga basi yatakupata ya yule kambare wa Hamida!

Na ukiona yameharibika hapohapo bila kusubiri dandia tawi jengine ili upoze maumivu yale ya hovyohovyo yanayojitokeza kama kinyampo mashuhuri!

Na mwenye kushika na ashike.

Priscar niuwe mama.😅
 
Vile nafeel insecure kwa mpenzi wangu kisa mpenzi ana chura kubwa!
safarigallery_20201110_3.jpg
 
Hapo umetumia BUSARA , ukitumia HEKIMA Mapenzini unawekeza kucha na nywele tu, hata vikikatwa vitaota tena. Moyo haujawahi kuwa na spea. Utatapika firigisi bure
Punguza wivu wewe priscar wangu ni mtamu kushinda utamu wenyewe! Mi nimeingia mzimamzima na nikitoka nitatoka mzimamzima 😅
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom