Raha ya mapenzi ni wakati gani?

Causin

Member
Apr 28, 2010
41
0
Habari zenu wana jamii,
Jaman naomba kuuliza eti raha ya mapenzi unaisikia wakati gani,ni wakati mnakiss na taching au wakati wa tendo lenyewe?
 
sasa mbona watu wakifika huko afu inakuwa kama wameshachokana vile?
 
raha ya mapenzi imegawanyika katika sehemu mbalimbali na hutofautiana na aina ya mtu unayetegemea akupe raha.kwa ujumla ni kuazia katika hisia na kuleta viashirio kabla ya mshiko wenyewe wenye kuelekea katika tendo lenyewe.
kama unampenda sana mpenzio,raha ya mapenzi utaisikia wakati wa awali sana hasa umwonapo na jicho la kwanza utakalomtizama na utaendelea kuisikia katika hatua zote muhimu na kumalizikia paleeeeeeeeeeeee..............!
 
causin.!watu wanaochokana hawapendani ati au hizo raha walizipata nusu.ukipata safari moja lazima uongeze ya pili ndio hivyo hivyo kwenye raha ya mapenzi.kinachochosha ni ukubwa wa zoezi lakini raha,walaaaaaaaaaa...............1
 
pale pa makiss..matach tach..manyonya....maramb aramba....mengneyo ahhhh yanachosha babu!!!1
ehh kengele imelia ebu niende zangu chach mie...........!!!!
 
aaaaaaakh Tunga! kweli huijui raha ya mapenzi wewe.....!katika mapenzi kila kitu ni raha,ukiona mzigo eneo lolote ujue huyo sio wako na raha utaikosa.ukimpata umpendaye,raha inakolea kila wakati ati....!
 
Mbona mnachanganya mambo ni NGONO au MAPENZI? kuna tofauti kubwa kati ya hayo mawili....mtoa hoja kaulizia MAPENZI wachangiaje na yeye mwenyewe mnaongelea NGONO
 
raha ya mapenzi imegawanyika katika sehemu mbalimbali na hutofautiana na aina ya mtu unayetegemea akupe raha.kwa ujumla ni kuazia katika hisia na kuleta viashirio kabla ya mshiko wenyewe wenye kuelekea katika tendo lenyewe.
kama unampenda sana mpenzio,raha ya mapenzi utaisikia wakati wa awali sana hasa umwonapo na jicho la kwanza utakalomtizama na utaendelea kuisikia katika hatua zote muhimu na kumalizikia paleeeeeeeeeeeee..............!
duh!
 
pale pa makiss..matach tach..manyonya....maramb aramba....mengneyo ahhhh yanachosha babu!!!1
ehh kengele imelia ebu niende zangu chach mie...........!!!!

mmmmmh!sasa kama hayo uliyotaja ni michoso, ina maana weye raha waipata wakati wa kupiga push ups??(nje ndani) au sio baby?
 
wakati hayajaingia shubiri ndo raha ya mapenzi ilipo nakwambia hata iweje kama kuna madoa lazima mapenzi yachuje tu hata angekulamba mpaka miguu
 
Safari kuna mapenzi ya aina tatu.manzi ya upande mmoja,mapenzi ya pende zote au mapenzi ya yalokwisha hamu lakini ni mapenzi.sasa yote hayo yana raha tofauti ati na wala hayahusiani na ngono
 
raha ya mapenzi imegawanyika katika sehemu mbalimbali na hutofautiana na aina ya mtu unayetegemea akupe raha.kwa ujumla ni kuazia katika hisia na kuleta viashirio kabla ya mshiko wenyewe wenye kuelekea katika tendo lenyewe.
kama unampenda sana mpenzio,raha ya mapenzi utaisikia wakati wa awali sana hasa umwonapo na jicho la kwanza utakalomtizama na utaendelea kuisikia katika hatua zote muhimu na kumalizikia paleeeeeeeeeeeee..............!
okay FL1 nimekupata sn tu,bt kwa upande wangu naenjoy zaidi pale kwenye matachitachi na makiss
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom