sasa mbona watu wakifika huko afu inakuwa kama wameshachokana vile?
duh!raha ya mapenzi imegawanyika katika sehemu mbalimbali na hutofautiana na aina ya mtu unayetegemea akupe raha.kwa ujumla ni kuazia katika hisia na kuleta viashirio kabla ya mshiko wenyewe wenye kuelekea katika tendo lenyewe.
kama unampenda sana mpenzio,raha ya mapenzi utaisikia wakati wa awali sana hasa umwonapo na jicho la kwanza utakalomtizama na utaendelea kuisikia katika hatua zote muhimu na kumalizikia paleeeeeeeeeeeee..............!
duh!
si huwa unaona kila siku naivaa au unataka raf-raidaaz?:A S 109:umeivaa?
pale pa makiss..matach tach..manyonya....maramb aramba....mengneyo ahhhh yanachosha babu!!!1
ehh kengele imelia ebu niende zangu chach mie...........!!!!
okay FL1 nimekupata sn tu,bt kwa upande wangu naenjoy zaidi pale kwenye matachitachi na makissraha ya mapenzi imegawanyika katika sehemu mbalimbali na hutofautiana na aina ya mtu unayetegemea akupe raha.kwa ujumla ni kuazia katika hisia na kuleta viashirio kabla ya mshiko wenyewe wenye kuelekea katika tendo lenyewe.