Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
Salamu tele toka kwangu ziwafikie popote mlipo wanaJF/MMU! Ni matumaini yangu tu salama na twasonga mbele ktk shughuri na majukumu yetu ya kila siku.
Leo ninajambo moja nitakalo lijadiliwe kwa pamoja, swala hili ni juu ya RAHA YA MAISHA NI NINI? wapendwa kuna watu wanaweza shangaa juu ya hili bt lengo langu kama mwanzisha thread ni kupata kufahamu Experience za watu juu ya maisha, just kushauriana hapa na pale juu ya maisha kwani nijuavyo mimi si sote tupatao raha, pia vitupavyo raha hutofautiana!
BINAFSI uwepo wa marafiki na upendo na ushirikiano nipatao toka kwa ndugu na Jamaa hunipa faraja na raha ya ajabu, napata kujisikia mtu katika watu, pia kinipacho raha kingine ni Afya na ulinzi nipatao toka kwa Mungu, kifupi ninaimani kubwa sana kwake!
Mmh! Sasa ni zamu yako, jaribu kuwa huru na muwazi, usione aibu na kuwa ruksa kusema chochote. JE NI NINI KIKUPACHO RAHA MAISHANI?