raha ya maisha kupiga na kutoa kichapo kwa vibaka, | vijimambo vya mitaani, | Tanzania yetu global P

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
raha ya maisha kupiga na kutoa kichapo kwa vibaka, | vijimambo vya mitaani, Watu wamechoka na vibaka, kuiba mali walizo tokea jasho wakiziona zinaibiwa bila woga, na sisi bila woga tutatoa kichapo cha mwisho atakaye tuibaia malizetu, pesa, simu, nguo, mifugo, hii ni bongo hatumani polisi kufanya kazi zao kwa ufasaa wa kutosha , kwahiyo iba na sisi tutajua la kufanya tukikukamata.-- Tanzania yetu, by global publisher info
 
Hili tatizo la kuua linatokana na upuuziji wa haki na kushindwa kusimamia sheria kwa mamlaka zinazohusika.Rushwa imetawala
 
Mimi naona kosa lipo kwa polisi kushindwa kutoa haki mara mtuhumiwa wanapofikishiwa.
 
Unapompeleka mtuhumiwa polisi asubuhi baada ya masaa 2 unamkuta mtaani.mimi naona hii ndo njia ya kukomesha wizi.
 
Kuna baadhi ya wezi wanakula na polisi,mkimfikisha kituoni mkitoka tu nae anatoka.
 
Back
Top Bottom