Raha ya maisha, kumpagia mkweo kwenye bodaboda, akatafute maisha , wakati wewe uko kwenye nyumba ndo

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,680
2,000
Raha ya maisha, kumpagia mkweo kwenye bodaboda, akatafute maisha , wakati wewe uko kwenye nyumba ndogo

Raha ya maisha, kumpagia mkweo kwenye bodaboda, akatafute maisha , wakati wewe uko kwenye nyumba ndogo una kula maisha na machangudoa, acha acha, tenda wema kwa mkeo, kila siku, kunywa konyagi kiroba kimoja, utapata nguvu usiku kucha, mpe raha ya maisha
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,012

anarudishwa kwenye shida alikokimbia .....hahahahaa
 
bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Hilo wazo la leo linaungana na hili pia,hatauwe na mbio vipi huwezi kukimbia kifo...
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Akili yangu imeingiwa na mdudu gani sijui... mada nyingi sizielewi ati... sijui ni hii mibange tunayovuta..
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,621
2,000
Hilo wazo la leo linaungana na hili pia,hatauwe na mbio vipi huwezi kukimbia kifo...

Samahani, kuna msahafu mmoja unasema Yesu atakaporudi atawakuta wengine wako shambani wanalima, wengine wanapaa samaki,nk nk. Sasa hawa siwatakuwa wamekwepa kufa? Mwenye kifungu hicho atuwekee hapa, kinaweza kusaidia.

Kuna watu hawatakufa,ila watamalaki mesia akija toka mawinguni wakiwa hai.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,621
2,000
Akili yangu imeingiwa na mdudu gani sijui... mada nyingi sizielewi ati... sijui ni hii mibange tunayovuta..

Nyuzi za hivyo uwe unaziacha bila kumaliza kusoma, utaanza kukusanya makopo ya maji ya uhai sasa hivi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom