Raha ya kuwa na Pesa, usiwe mlevi.....

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,320
6,806
Ukiwa napesa za kutosha then ukawa hunywi pombe utafanya mabo mengi ya maendeleo, utajenga, utasomesha watoto , utafungua miradi ya maendeleo, utanunu gari nzuuri .nk....
Jamani jihadharini na unywaji pombe mnapopata pesa kwani inawafanya muwe watumwa wa pombe na mshindwe kufanya shughuli za maendeleo....angalia walevi wengi familia zao, magari yalivyo mabovu, afya zao n.k
......................................................................
 
Haka kautafiti au ni hisia.....mmmh! ila kama kuna kaukweli.......sample ya kautafiti kako ulichukulia wapi? maana isijekuwa wale wa chimpumu ati!!!!!

Je ulijaribu kwenye kautafiti kako kudodosa kati ya ulevi wa pombe na wa wanawake upi balaa zaidi? Hebu tijuze mwaya
....

Anyway, mie sikunywi (maana nahisi kizibo tu kinaweza kunifanya nitembee utupu) lakini nasikia wenyewe wanasema wasipokunywa hakutajengwa hospitali, barabara, kulipa dowans, kuliwa na mafisadi n.k kwa kuwa pombe ipo kwenye list ya items zinazoongoza kuchangia pato la taifa

Sasa sijui lipi bora, wasinywe waendelee wao ila taifa likose mapato, au wagide tu wasiendelee wao na taifa lipate mapato...........changa ubongo

Mie simo jamani...............am out
 
Ukiwa napesa za kutosha then ukawa hunywi pombe utafanya mabo mengi ya maendeleo, utajenga, utasomesha watoto , utafungua miradi ya maendeleo, utanunu gari nzuuri .nk....
Jamani jihadharini na unywaji pombe mnapopata pesa kwani inawafanya muwe watumwa wa pombe na mshindwe kufanya shughuli za maendeleo....angalia walevi wengi familia zao, magari yalivyo mabovu, afya zao n.k
......................................................................

Hizi ni hisia zako tu kuna watu hata soda hawanywi lakini wanashindwa kusomesha watoto.
 
Unaweza kuwa unakunywa na ukawa una maendeleo kuliko yule ambaye hanywi,suala la kuwa na maendeleo ni akili ya mtu ya namna ya kupanga maisha yake.
 
Kweli? ebu fikiria tena kidogo na urudie kusoma nilicho andika, iko pesa no pombe! then kusiwe na maendeleo?
 
Sio ulevi tu,hata uzinzi pia ni hatari kwa maendeleo.tena wazinzi huwa wanahama na miji yao.wanatelekeza familia zao.tunapaswa kuwa karibu na MUNGU wakati wote,tukiwa na pesa,ama hatuna.
 
Kama pesa ni ya wizi itakwisha lakini kwa mtafutaji hawezi toka kazini na kwenda nyumba kwani fursa zingine zinapatika kwa kuongea na watu. Uchumi wa nchi unaendeshwa na matumizi ya wananchi, nchi zingine wanaongeza matumizi ya wananchi katika sekta flani kwa kutoa fursa wa raia wake, mfano kuwapa magari ya mikopo ili waweze kununua mafuta,
 
Back
Top Bottom