Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Hahahahha hhahhahha,Konda: Anti, kuna siti pale nyuma, ingia
Anti: Siwezi kukaa siti za nyuma
Konda: Kwenda zako wewe, kwani za nyuma ziko nje ya gari?
Umenipatia raha lol!
Hahahahha hhahhahha,Konda: Anti, kuna siti pale nyuma, ingia
Anti: Siwezi kukaa siti za nyuma
Konda: Kwenda zako wewe, kwani za nyuma ziko nje ya gari?
:lol::lol::lol:Raha ya kupanda daladala ni muda wa jioni ukiwa unatoka Posta unaelekea Mbezi ya kimara, kitu nyomi halafu unakuwa umewekwa kati mmesimama na shori zenye mambo ya ukweli, safari utaiona fupi na hata hutalalamika kubanwa, full kubambia. Acha bwana!
dala dala zetu huku bonyokwa zikishajaa abiria lazima zisukumwe so abiria tunaambiwa tunyanyue miguu kupunguza uzito...