Raha ya kitimoto

Jmn wale wa wakao singidaa mdudu anapatikana igulaa karibu kbsa na cheyo aikuambie mtu mdudu huyu ni mahala pake umefika karibuni Sana'a igula kitimoto safi
 
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali flan unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sanaaa, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiiiView attachment 1217155
mpka nmemaliza kusoma huu uzi mate yameshajaa mdomon balaaa ngoja jion nikang'ate mnyama
 
Aiseeeeeeeeeeeee keko machungwa balaaaaa
IMG_20210131_185139_875.jpg
 
Back
Top Bottom