Raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,272
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.
 
Buji bwana utanifukuzisha mwenzio kazi kwa kucheka.<br />
Meneja wangu leo kapiga bonge la kimini, halafu ana zinga la mguu, kama bomba la antena
hahahahaa!
Kama papai limechomekwa kwenye vijiti vya mshikaki?
 
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema.
<br />
<br />
Mkuu hapo si utakuwa na shepu kama rungu?
 
Halafu awe hana masaburi!![/QUOTE]

uwiiii mbavu zangu! ni bora usiwe na masaburi maana ukiwa nayo utabinuka mbele na nyuma! halafu ukute na suruali au kaptura linajikunyata katikati ya miguu kwa wanaume, mh sipati picha! ila kitambi noma maana kuinama lazima upanue miguu kama twiga anapokunywa maji!!!
 
tetetetetheetehhe mmenikumbusha mwl wangu wa michezo sekondari yy ilikuwa jezi ya arsenal juu bukta ya Man u na soksi za Liverpool halafu njumu adidas duuu ilikuwa balaa akiingia tu uwanjani wanafunzi xl nzimaa mbavu chalii akigusa mpira kama chuma aikikugonga dahh lazima ukande na maji ya moto tumbo kuubwa miguuu duh nyuzi viatu size11 ahaaaaaaaaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom