MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Pooltable huku unakuza uchumi.
unauza ndizi/nyanya huku unapiga shule kidogo au movie wateja wasipoonekana.
usisubiri TREKTA, UNAWEZA KUANZA MDOGOMDOGO NA VITZ YAKO.
Ukivuna usisahau kujipongeza na SELFIE KIDOGO