monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,307
Hii inaitwa Brain expansion
mkuu kwani Nani anamfukuzisha mtu kazi? unajuaje ulikuwa sherehe yao kambiniSiwapendi polisi, Ila hii tabia ya kufukuzishana kazi kwa mambo ya kijinga sio nzuri, mwenzio anapooza Koo wewe na kismartphone chako unajipa kazi isiyokuhusu
kwani nyie akina malinzi mnaruhusiwa kutumia smart phone Centro, kweli tumetofautiana aiseePicha ya zamani sana hiyo.
Sherehe ya kambini na smg wapi na wapi?mkuu kwani Nani anamfukuzisha mtu kazi? unajuaje ulikuwa sherehe yao kambini
KWAHIYO TUMSAMEHE KWASABABU NI YA ZAMANI.BAADA YA TATU AKIUA PANZI JEPicha ya zamani sana hiyo.
ndio uchochezi wenyewe wa expansion jointSiwapendi polisi, Ila hii tabia ya kufukuzishana kazi kwa mambo ya kijinga sio nzuri, mwenzio anapooza Koo wewe na kismartphone chako unajipa kazi isiyokuhusu