Raha sana Bongo

monopoly inc

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
5,267
11,301
23b5ae20b5e6177ffe83664f895c8bf4.jpg
 
Siwapendi polisi, Ila hii tabia ya kufukuzishana kazi kwa mambo ya kijinga sio nzuri, mwenzio anapooza Koo wewe na kismartphone chako unajipa kazi isiyokuhusu
 
Siwapendi polisi, Ila hii tabia ya kufukuzishana kazi kwa mambo ya kijinga sio nzuri, mwenzio anapooza Koo wewe na kismartphone chako unajipa kazi isiyokuhusu
mkuu kwani Nani anamfukuzisha mtu kazi? unajuaje ulikuwa sherehe yao kambini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom