Raginald Mengi tajiri wa kweli anaepata sifa za kweli bila unafiki, nani mwingine kama yeye?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Watanzania tumezoea kuona sifa za marehemu zikiwa nyingi kuliko mabaya yake.
Ukiangalia watu maarufu waliokufa wote utagundua wanapewa sifa lakini wakiwa na madudu kibao tena ya wazi kabisa.
(Majina yapo kapuni)

Tumeona kwa ndugu yetu Mengi hana hata chembe ya ufisadi, wizi au kukwepa kulipa kodi. Hakika ni nani kama yeye kwa tz?
 
Amakweli Mengi amekufa na Mengi...
 
Watanzania tumezoea kuona sifa za marehemu zikiwa nyingi kuliko mabaya yake.
Ukiangalia watu maarufu waliokufa wote utagundua wanapewa sifa lakini wakiwa na madudu kibao tena ya wazi kabisa.
(Majina yapo kapuni)

Tumeona kwa ndugu yetu Mengi hana hata chembe ya ufisadi, wizi au kukwepa kulipa kodi. Hakika ni nani kama yeye kwa tz?
Marehemu mpaka anakufa hajawahi kuzungumzia tuhuma za kuhusika na ufisadi wa SUKITA na NBC.Ukipita pale kwenye magofu ya SUKITA Tabata Matumbi na matrekta yale ambayo yamebaki skeleton utatamani kulia.Marehemu alikaa kimya na aliyemtuhumu alikuwa swahiba wake,ambaye naye alimuorodhesha katika list ya mafisadi watatu wanaotafuna nchi.
 
....Mengi aliumbwa kuwa Tajiri, ndomana mambo yake mengi yaliyooka sasa sisi wenye Riziki ya One GB , ndo kasheshe. Kutwa kwa waganga.. Kuosha reli#*****
 
Marehemu mpaka anakufa hajawahi kuzungumzia tuhuma za kuhusika na ufisadi wa SUKITA na NBC.Ukipita pale kwenye magofu ya SUKITA Tabata Matumbi na matrekta yale ambayo yamebaki skeleton utatamani kulia.Marehemu alikaa kimya na aliyemtuhumu alikuwa swahiba wake,ambaye naye alimuorodhesha katika list ya mafisadi watatu wanaotafuna nchi.
Ndio kitu gani icho hata sikijui
 
Cha ajabu msiba wake hautakiki kama wa Ruge
Unajua Mambo ya culture huwo msiba wataandaa wanae wakubwa au trophy wife ? Kama ni kampuni zake watammwalika trophy wife ?Mwili wake unakuja jumatatu unachelewa kuja Lazima wanafanya uchunguzi na vipimo Kujua KIFO kimesababishwa na Nini
 
mantiki yangu ni kwamba msiba wa mtu muhimu kama Mengi watu wanachukulia kirahisi rahisi
Unajua ukifa watu hawatakumbuka how much money au majumba uliyokuwa nayo .watakumbuka sana uliyotendea watu .uki google image mzee yupo na mtoto mdogo .Atakumbukwa kwa choices zake
 
Mkuu unauhakika na hichi ulicho andika,wasanii walipata hela wakakimbilia unga na mademu wakishachoka kwa magonjwa na mawazo mzigo aje tupiwa Ruge aliwazulumu.
Nimemaanisha Ruge alikua maarufu sababu ya kusemwa hivyo, sio mm nasema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom