Rage:sela zake ni hz hapa

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
110
mwenyekiti wa simba Ismaili Aden rage anadai wanao mtuhumu kama amechukua fedha za mauzo ya okw wapeleke ushahid,kama ikidhibitika ni kweli anajiuzuru ubunge.
Mm binafsi naona hapo amepepesa macho,cjui wa JF mnaonaje..
 
Rage alishakulaga posho ya wachezaji na akafungwa jela. je na ushahidi wa kufungwa jela anautaka tumpelekee ? kwanza bado anakaharufu ka Jela.
 
Nawashangaa sana wapenzi na wanachama wa Simba kwa kufanywa kuwa watoto wa huyu Msomali Tutu Vengele,yaani anawachezea anavyotaka kama vile Simba ni Familia yake binafsi.Inatia kinyaa.
 
Back
Top Bottom