RAGE; Live EATV, Ni watu watatu tu ambao hawanitaki.

Kwenda zako wataje hapa basi! Hao watatu ndo wanamtaka lakini wote waliobaki hawamtaki
 
Hebu aeleze hela za kumuuza huyo Okwi ziko wapi? mwizi jambazi gaidi la kisomali mnalichekea chekea nini?
 
Rage ambao hatukutaki ni umati, tuachie timu yetu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtangazaji: Vipi 2015 unagombea ubunge? Rage: Unauliza Tende Uarabuni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom