Rage kushtakiwa kwa spika /rais ......ni sahihi............?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
wanachama 400 wa klabu ya simba walienda bungeni , kumshtaki mwenyekiti wao, hawakufanikiwa kuonana na Spika kwa kutofuata utaratibu. hatimaye wameacha barua yao yeneye malalamiko ambayo nakala zake wamepeleka kwa mhe Rais, na na nyingine kwa Katibu mkuu wa ccm.........NAJIULIZA hivi ilikuwa sahihi kwenda huko....? kwa nini wasiende kwa msajiri wa vyama vya michezo kama hoja ni Rage kusigina katiba.........!!!
 
Back
Top Bottom