Rage alimwa faini.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mbunge Ismail Aden Rage amepigwa faini ya sh.100000 na kamati ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga.Msemaji wa kamati hiyo bwana Protas Magayane amesema faini hii ni kutokana na Rage kupanda jukwaa la kampeni akiwa na Bastola kiunoni.
 
Back
Top Bottom