Rage aipigia magoti YANGA SC

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,232
442
Gazeti maarufu la michezo lina Habari nyeti kuhusu rage kuwapigia magoti YANGA wakubali kufungika ili kupunguza gadhabu ya wanachama msimbazi aka mikia ambao wanatabia ya kung'oa viti vya uwanja na kupiga bakora viongozi wake. Hivyo Aden rage Ana deni YANGA kwa kumuokoa na bakora msimbazi...
 
Hapo umenena kaka ningepata no yako ningeku m pesa hata ukashushia tembo kadhaa. Simba sio team yakuifunga yanga hata kidogo
 
Gazeti maarufu la michezo lina Habari nyeti kuhusu rage kuwapigia magoti YANGA wakubali kufungika ili kupunguza gadhabu ya wanachama msimbazi aka mikia ambao wanatabia ya kung'oa viti vya uwanja na kupiga bakora viongozi wake. Hivyo Aden rage Ana deni YANGA kwa kumuokoa na bakora msimbazi...

Kandambili hawa ni wa kuombwa na MTU wafungike??

Acha kuongea ujinga. Yani leo usingizi mororooo...!
 
nakubali kabisa coz kushinda kwa simba, lakini yanga imelaba milion 93 kati ya mia na zilizobaki wamekula simba. Sasa naanza kupunguza uchungu nimeelewa sasa.
 
Sio 93ml Bali 96milion afu zilibaki ndio simba basi
 
Gazeti maarufu la michezo lina Habari nyeti kuhusu rage kuwapigia magoti YANGA wakubali kufungika ili kupunguza gadhabu ya wanachama msimbazi aka mikia ambao wanatabia ya kung'oa viti vya uwanja na kupiga bakora viongozi wake. Hivyo Aden rage Ana deni YANGA kwa kumuokoa na bakora msimbazi...

Wakati mnasema mtashinda goli sita bila hamakujua kwamba Rage kawapigia magoti au kawapigia magoti baada ya mechi, kwa kuamini kwenu kwamba timu ni bora Al-Ahly atawapiga nane, tatizo lenu sasa ni kwamba hamna wachezaji wa maana hasa nafasi ya kiungo dimba la chini, hamna beki wa maana wa upande wa kushoto pia beki ya kati ina tatizo, Cannavaro hana uwezo kwa sasa wa kucheza na washambuliaji wanaojua, mkiweza kurekebisha hapo angalau mtakuwa na haki ya kujiamini.
 
Back
Top Bottom