Rafiki yangu kanigongea girlfriend wangu baada ya kuiba namba yake ya simu kwenye simu yangu

Huyu ni rafiki yangu mkubwa Sana kwao na kwetu tunatambulika wakat fulani anakuja kulala home namimi naenda kulala kwao sikutegemea kama angenitendea kitendo hicho.

Jamaa alikua anaona nachati na mtoto mzuri na alijua dogo namkubali Sana cha Ajabu akachukua namba yake usiku tukiwa tumelala na rafiki yangu na kuanza kutiririka nae Japokua girlfriend wangu hakumjua Kua rafiki yangu.

Kilicho niuma zaidi jamaa ananisimlia walikutana dar mwezi wa 12 dem alimkaribisha hadi chumbani kwake na wakamaliza Yao huko. Aisee walai dunia hii!

Hapa uwamuzi naochukua kabla wadau humu kunipa nyongeza ya adhabu juu ya hawa mashetani wa kuzimu.. Kwanza urafiki ujavunjwa kwa passive not kwa active.. Yaani tutaendaelea lakini kwa mwonekano urafiki umeisha demu nae ndo anisahau kama aliwahi Kua na mimi maisha yake yote.. Sina huruma na kiumbe cha kike cha aina hii.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakosea.... Biblia inasema ukiingia kwa upanga utatoka kwa upanga
Dawa ya hao watu Ni kuwatoa kwa upanga Yan kila mmoja mgongee mtu wake wa karibu zen huyo Dem usimuache endelea kumchezea tu halaf mpe ahad za kumuoa na tengeneza mazingira ya kwel ya kumuoa zen unapiga u turn ya ajabu ili umtie adabu asirudie upuuzi kwa mwanaume mwingine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom