Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,672
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!
 
ACHA STORY ZA MGAHAWA NDUGU YANGU AU NDO UMEPEWA SCENE YA MOVIE UNATAFUTA PA KUTOKEA. FICHA UPUMBAVU WAKO ONYESHA UELEWA WAKO.?
 
jf kuna akina kanumba weengi mno sasa eeh???????

leta hivyo vipimo vyake hapa jf doctor tumpe ushauri yeye huyo rafiki yako...

aslimia 90 ya matatizo ya kutopata mtoto,yanatibika.....otherwise umetunga hii hadithi

Hio movie inaitwa DANGEROUS DESIRE! Umemshauri vizuri Boss!
 
Dah!..... usifanye hivyo ndugu yangu, mwambie yatima wapo wengi tu Tanzania na waikinadada wengi tu siku hizi wanawalea kama watoto wao.It's an awesome feeling kumpa yatima mapenzi ya mzazi na yeye kukupa mapenzi ya mtoto. Mshawishi rafiki yako afanye hivyo.
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!
ACHA STORY ZA MGAHAWA NDUGU YANGU AU NDO UMEPEWA SCENE YA MOVIE UNATAFUTA PA KUTOKEA. FICHA UPUMBAVU WAKO ONYESHA UELEWA WAKO.?

Mh! hili ndilo lililonifanya nichukue muda mrefu kutafakari
kama nitaaminika nikiomba ushauri hapa!
 
Swali la msingi ambalo nataka kujua toka kwako ni kuwa licha ya kuomba ushauri hapa JF je wewe upo tayari kutekeleza ombi uliloombwa?
 
Mkuu Newspaper nakushauri uache hiyo 'biashara kichaa' niliwahi kukubali na kumsaidia mtu na ikaja nitokea puani kwa matatizo lukuki soma thread yangu 'Jambo limezua jambo' hapa hapa itafute na utakubali kuwa msaada huu haulipi.
 
Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmoja
unanisukuma kufanya hivyo lakini upande mwingine unasita
kwani sina uhakika na anachokizungumza kwa sababu hata
hivyo vyeti kuoka hospitali sijaviona!
 
Mkuu Newspaper nakushauri uache hiyo 'biashara kichaa' niliwahi kukubali na kumsaidia mtu na ikaja nitokea puani kwa matatizo lukuki soma thread yangu 'Jambo limezua jambo' hapa hapa itafute na utakubali kuwa msaada huu haulipi.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako maana natajiwa Filamu hata sijawahi
kuziona badala ya kushauriwa.
 
Mkuu Newspaper nakushauri uache hiyo 'biashara kichaa' niliwahi kukubali na kumsaidia mtu na ikaja nitokea puani kwa matatizo lukuki soma thread yangu 'Jambo limezua jambo' hapa hapa itafute na utakubali kuwa msaada huu haulipi.
Duh! Nimeisoma hiyo post uporoto imenihuzunisha sana!
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako maana natajiwa Filamu hata sijawahi kuziona badala ya kushauriwa.
Wengine hawajui na wengine hawaamini lakini hili swala la kuinuana kizazi lipo sana lakini kwakuwa hufanywa kwa siri wengi hawafahamu, na wanaume wengi hawataki kuwahusisha ndugu ili wasijue udhaifu wao na hutumia marafiki na watu baki.
Mimi nilifatwa na girlfriend wangu wa zamani wakaja na mumewe na vielelezo vyote,na zoezi kufanikiwa,miaka kadhaa baadae nikabwagiwa mtoto.
 
jf kuna akina kanumba weengi mno sasa eeh???????

leta hivyo vipimo vyake hapa jf doctor tumpe ushauri yeye huyo rafiki yako...

aslimia 90 ya matatizo ya kutopata mtoto,yanatibika.....otherwise umetunga hii hadithi

Ni jambo ambalo ameomba liwe siri sijui kama itakuwa siri tena nikileta hivyo
vipimo hapa, hata hivyo mimi sijaviona hivyo vipimo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom