oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 732
- 1,326
Hata mimi nadhani ni wewe mkuu
Hata mimi nadhani ni wewe mkuu
Naunga mkonoKama kipato kinapatikana vzur mshauri ajibane ajenge vyumba viwili ahamie kwake.
Kama mishe zake hazijatengamaa basi waendelee kubaki tu hadi pale watakapo kuwa sawa
mbona waarabu na wahindi wanaishi hivyo na wana hali nzuri ya uchumi kuliko sisi wazee wa kutafuta mali zetu bila kutegemea cha nduguKuishi kwenye Nyumba ya wazazi ni kosa ktk maisha, hupumbaza akili, ajipange kwa kutafuta pesa, ili akapange aanze maisha yake, angetakiwa kwa sasa anajiandaa kuhamia kwenye Nyumba Yake au anabiashara imesimama anajipanga kujenga au kuhamia kwenye nyumba ambayo haitampa kero za kupanga.