Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

Mkuu nenda na kiteto kule mashamba ni makubwa na ni bei rahisi hayana thaman unaweza kupata shamba heka 20 kwa 500,000/= (laki tano tu) mahindi yanakubali sana na kupalilia watu wanapalilia heka 1 kwa tsh10k tu hivyo hivyo nq kuvuna.
Kwenye heka moja unaweza kupata had gunia 9 na gunia moja ni 45,000/=
Ukivuna heka 20 una uhakika wa 8M kama mambo yataenda vizuri
Huku wewe ukiwa umewekeza Sana sana 600k .
Mimi nimepata bahat ya kupata shamba heka 20 kwa laki mbili tu
(Nenda mwenyewe kafanya utafiti kama una nia kule pesa ipo na mvua ni nying tofaut kdogo na dodoma )
Idea nzuri Sana Ila kwa Sasa muda wa kulima ndio Sina, nachofanya ni kulangua kwa waliolima
 
Mkuu Taratibu.. Though I'm not rich.. ila Risk hizo za 25M

Buffet anakwambia Worry when others are Greedy.. be Greedy when others are worrying.

Kama Huna Soko Mahindi yako yataozea Ndani..
Jamaa alivyoanza kwa mbwembwe nikajua ana bonge la idea mpya ya kuingiza pesa kumbe anaongelea kilimo kilekile cha kwenye makaratasi.
Hajui kwamba wenzake wanalia wamevuna mzigo wa kutosha pa kupeleka hawana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mama kafungua njia mkuu...kenya kweupee
Screenshot_20210509-155727_Instagram.jpg
 
Jamaa alivyoanza kwa mbwembwe nikajua ana bonge la idea mpya ya kuingiza pesa kumbe anaongelea kilimo kilekile cha kwenye makaratasi.
Hajui kwamba wenzake wanalia wamevuna mzigo wa kutosha pa kupeleka hawana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Niliweka angalizo hapo juu Soma Tena
Pia Mimi silimi, Bali ninataka pia kufnaya hii biashara kwa kulangua
 
Mkuu nenda na kiteto kule mashamba ni makubwa na ni bei rahisi hayana thaman unaweza kupata shamba heka 20 kwa 500,000/= (laki tano tu) mahindi yanakubali sana na kupalilia watu wanapalilia heka 1 kwa tsh10k tu hivyo hivyo nq kuvuna.
Kwenye heka moja unaweza kupata had gunia 9 na gunia moja ni 45,000/=
Ukivuna heka 20 una uhakika wa 8M kama mambo yataenda vizuri
Huku wewe ukiwa umewekeza Sana sana 600k .
Mimi nimepata bahat ya kupata shamba heka 20 kwa laki mbili tu
(Nenda mwenyewe kafanya utafiti kama una nia kule pesa ipo na mvua ni nying tofaut kdogo na dodoma )
Kiteto ipo sehemu gani

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nenda na kiteto kule mashamba ni makubwa na ni bei rahisi hayana thaman unaweza kupata shamba heka 20 kwa 500,000/= (laki tano tu) mahindi yanakubali sana na kupalilia watu wanapalilia heka 1 kwa tsh10k tu hivyo hivyo nq kuvuna.
Kwenye heka moja unaweza kupata had gunia 9 na gunia moja ni 45,000/=
Ukivuna heka 20 una uhakika wa 8M kama mambo yataenda vizuri
Huku wewe ukiwa umewekeza Sana sana 600k .
Mimi nimepata bahat ya kupata shamba heka 20 kwa laki mbili tu
(Nenda mwenyewe kafanya utafiti kama una nia kule pesa ipo na mvua ni nying tofaut kdogo na dodoma )
Hizo heka 20 umeshalima mkuu,umevuna kiasi gani?Umepata milioni ngapi?

Back
Top Bottom