Rafiki yangu amefanya ngono na Mtu mwenye VVU (Virusi Vya UKIMWI)

huyo ni wewe

usitudanganye

blaza wewe anza kabidhi kama kuna urithi andika mirathi,kama huna mali basi subiri kifo

by the way,kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako,ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini
Umembaini....
 
Ndugu wachangiaji kwa michango mnayotoa mnaweza kumpa huyo jamaa matatizo makubwa kuliko aliyokuwa nayo tayari.

Mkuu vipimo ni muhimu sana. Ili uweze kuendea hatua yyte inayofuata. Usijari hii michango ya baadhi ya watu wanaokatisha tamaa humu. Wengine humu si wa kuwazingatia saaana wasemacho. Mkuu jipe moyo mkuu...ukimwi ni kawaida siku hizi just don't panick...
Mweleze ukweli acha kulemba lemba!!!
 
Pole sana...
Kwenye ngono inawezekana kua haujaupata...

Ila utaupatia hapo kwenye kumpiga sababu unaweza mwaga damu...

Cc: mahondaw
 
Ndugu wachangiaji kwa michango mnayotoa mnaweza kumpa huyo jamaa matatizo makubwa kuliko aliyokuwa nayo tayari.

Mkuu vipimo ni muhimu sana. Ili uweze kuendea hatua yyte inayofuata. Usijari hii michango ya baadhi ya watu wanaokatisha tamaa humu. Wengine humu si wa kuwazingatia saaana wasemacho. Mkuu jipe moyo mkuu...ukimwi ni kawaida siku hizi just don't panick...

Kuna Mtu alimtuma akasengenye huko Bila kutumia Kinga?
 
Ushauri wangu usiende kupima maana hata ukienda dawa hamna

wewe pambana tu acha ngono zote usigongane tena anzia leo

halafu jiskilizie kaa kwa amani ila usijichanganye ukajitia una kiherehere

sanaaaa ukaenda pima,kitachokukuta kwenye majibu lazima unikumbuke.
 
Yaani afanye mapenzi siku 6 then amepima kipimo kimekuja kuonyesha negative ndani ya siku sita??... Mwambie aache stress akae kwa kutulia hapo asubirie mwezi wa 1 hivi mwishoni akapime hospital... Hivo vya kupima mwenyewe nyumbani ukipitiliza muda vinasoma positive
 
kama unahitaji lawyer wa huduma ya kuandika mirathi na kusolve mafao nicheki pm boss
 
kwahyo tuanze kulamba tu mabamedi wenye vyeti vyao kisa kuna chuma cha ubongo au ajali ya daladala?
hapana,hapo kamaanisha mtu akiwa anaishi na VVU asitolewe maneno au dhihaka utakufa wewe sababu kifo kila mmoja anasiku yake naweza mimi ambaye sina nikatangulia kufa nikamwacha mwenye VVU.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom