Rafiki yangu alivyoniondolea uaminifu kwa marafiki wengine

clefting

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
222
389
I hope mko poa,
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye kuzoeana na mtu inanipaga wakati mgumu japo nikikuzoea nakuwa loyal sana kwenye urafiki wetu na nitajitoa sana
Wakati naanza chuo mwaka wa kwanza nilizoeana na jamaa mmoja tukawa karibu mwisho tukawa marafiki wa kupika kupakua alipo nipo mwaka ukaisha tukaenda likizo tukarudi mwaka wa pili yeye akabaki hostel mimi nikapanga geto mtaani urafiki ukaendelea mda mwingi tunakuwa pamoja mwaka wa pili katikati akatoka hostel wakapanga na jamaa mwingine tulikuwa tunasoma nae tukaendelea kuwa marafiki tukaingia mwaka wa tatu jamaa wakawa wamezinguana na mshikaji akaniomba aje akae na mm ili tuwe tuna share cost za kuishi m nikakubali tukalipa kodi yeye akaongeza vitu vidogo vidogo geto ambavyo yeye anavipendelea na havikuwepo
Maisha yaliendelea vizuri tunaishi mda mwingi tupo pamoja hadi darasani tunakaa pamoja ikitokea assignment tunakuwa wote group moja
Siku moja tulikuwa tunakaribia kumaliza mwaka wa tatu tumekaa geto usiku akawa anaongea na simu alivyomaliza akawa kimya sana nikamuuliza kuna ishu ? akanijibu tuu kiufupi kwamba hamna kitu siku zikaendelea akawa kimya mara asirudi geto analala huko mara hali chakula nikipika akifika analala
Ikafika kipindi akawa anapika chakula chake mwenyewe hata kama mimi nimepika nikambakishia hali mwisho akaacha kuongea na mimi nampa salamu haitikii na akinikuta nipo geto hanisalimii
Anakuwa na shida ya hela haniombi washikaji aliokuwa anaongea nao wananiambia mimi ninaroho mbaya simkopeshi hela wakati ninazo of course ninayo sio uongo na natamani kumpa lakn ata salamu hamna alaf tunalala kitanda kimoja
Hiyo hali iliniathiri sana maana mimi nina weakness kubwa ya kumwamini sana mtu alaf nipo weak sana emotionally
Academic performance ilishuka sana nikaendelea natamani ata kuhama nimwache yeye apo geto japo vitu vilivyo vingi vilikuwa vyangu na kumwambia ahame siwezi
Nilikuwa stressed sana kuna siku nilisahau kuzima jiko la gesi nilipomaliza kupika nikala nikasepa nilikuja kuliona usiku nilivyorudi tangu mchana linawaka
Ile hali iliendelea mpaka mwaka ukaisha tukaisha tukaenda home likizo nikaja kumwambia tukifungua atafute tuu sehemu nyingine ya kuishi maana sitaweza kuishi nae tena
Nilikuwa najiuliza nimemkosea nini lakin sipati majibu namwomba msamaha kama nimemkosea ananipotezea
Kuna siku anakula mkate na maji nikaenda kumnunulia soda akaikataa
Mwaka wa mwisho hatukuwahi ata kuongea nae na sikutaka kabisa ata kujua anakoishi akawa mtoro chuo anakuja mara chache
Performance yangu darasani ikawa vizuri
Siku ya graduation tulikutana chuo akanichangamkia sana mi sikuonesha kinyongo tukasalimiana kesho yake nikarudi mkoani sijawahi onana tena
 
Kwa binadamu tulivyo waeza Kuta Kuna mtu kamwambia labda ulikua unamloga ili asifaulu
 
Uzi umeisha kumbe!

Nilifikir huyo jamaa yako kakupiga tukio heavy

Halafu huyo msela labda alikuwa gay maana ana tabia za kike sana kununa kama msichana na visirani vya kitoto

wenye moyo kama wako mpo wachache mimi ningemlima vitasa na geto angehama siku nyingii
 
Aisee hii kali. Mwanaume ananuna mpaka salamu haitikii?

Labda aliambiwa unamkula Demu wake Mkuu?
Au mganga wake alimwambia kwamba we ndiyo unamloga labda?
Alaf hilo wazo la mganga ndo nimelifikiria baada ya kuandika na inawezekana maana academically nilikuwa namzidi mbali sana
 
Umenikumbusha mbali sana kaka nilikaa na jamaa getto anafanya anavyotaka hataki ushauri kitanda hatandiki wala nn ukimsema anafanya makusudi anakuja na jamaaa zake wanachafua wakitaka kutandika kitanda mbele yangu anawaambia acheni ivyo ivyo then wanaondoka mbaya ile crew yao wanatembea pamoja wakiwa na shida ndo wanifuata wakti sitembei nao

Ila mi nimvumilivu nimekaa nae miaka 2 baada ya kumaliza chuo nikaondoka sasa wakabaki ma washkaji wapange getto watafute life duh nimepata taarifa miezi mitatu 3 wamegombana kila mtu kachukua chake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I hope mko poa,
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye kuzoeana na mtu inanipaga wakati mgumu japo nikikuzoea nakuwa loyal sana kwenye urafiki wetu na nitajitoa sana
Wakati naanza chuo mwaka wa kwanza nilizoeana na jamaa mmoja tukawa karibu mwisho tukawa marafiki wa kupika kupakua alipo nipo mwaka ukaisha tukaenda likizo tukarudi mwaka wa pili yeye akabaki hostel mimi nikapanga geto mtaani urafiki ukaendelea mda mwingi tunakuwa pamoja mwaka wa pili katikati akatoka hostel wakapanga na jamaa mwingine tulikuwa tunasoma nae tukaendelea kuwa marafiki tukaingia mwaka wa tatu jamaa wakawa wamezinguana na mshikaji akaniomba aje akae na mm ili tuwe tuna share cost za kuishi m nikakubali tukalipa kodi yeye akaongeza vitu vidogo vidogo geto ambavyo yeye anavipendelea na havikuwepo
Maisha yaliendelea vizuri tunaishi mda mwingi tupo pamoja hadi darasani tunakaa pamoja ikitokea assignment tunakuwa wote group moja
Siku moja tulikuwa tunakaribia kumaliza mwaka wa tatu tumekaa geto usiku akawa anaongea na simu alivyomaliza akawa kimya sana nikamuuliza kuna ishu ? akanijibu tuu kiufupi kwamba hamna kitu siku zikaendelea akawa kimya mara asirudi geto analala huko mara hali chakula nikipika akifika analala
Ikafika kipindi akawa anapika chakula chake mwenyewe hata kama mimi nimepika nikambakishia hali mwisho akaacha kuongea na mimi nampa salamu haitikii na akinikuta nipo geto hanisalimii
Anakuwa na shida ya hela haniombi washikaji aliokuwa anaongea nao wananiambia mimi ninaroho mbaya simkopeshi hela wakati ninazo of course ninayo sio uongo na natamani kumpa lakn ata salamu hamna alaf tunalala kitanda kimoja
Hiyo hali iliniathiri sana maana mimi nina weakness kubwa ya kumwamini sana mtu alaf nipo weak sana emotionally
Academic performance ilishuka sana nikaendelea natamani ata kuhama nimwache yeye apo geto japo vitu vilivyo vingi vilikuwa vyangu na kumwambia ahame siwezi
Nilikuwa stressed sana kuna siku nilisahau kuzima jiko la gesi nilipomaliza kupika nikala nikasepa nilikuja kuliona usiku nilivyorudi tangu mchana linawaka
Ile hali iliendelea mpaka mwaka ukaisha tukaisha tukaenda home likizo nikaja kumwambia tukifungua atafute tuu sehemu nyingine ya kuishi maana sitaweza kuishi nae tena
Nilikuwa najiuliza nimemkosea nini lakin sipati majibu namwomba msamaha kama nimemkosea ananipotezea
Kuna siku anakula mkate na maji nikaenda kumnunulia soda akaikataa
Mwaka wa mwisho hatukuwahi ata kuongea nae na sikutaka kabisa ata kujua anakoishi akawa mtoro chuo anakuja mara chache
Performance yangu darasani ikawa vizuri
Siku ya graduation tulikutana chuo akanichangamkia sana mi sikuonesha kinyongo tukasalimiana kesho yake nikarudi mkoani sijawahi onana tena
Binadamu wagumu, kakupa uzoefu wa kiasi fulani wa maisha ya ndoa, ila ndoa kuachana inakuwa shughuli nyingine, na changamoto ya maisha yote kama mna watoto.
 
Kwanza umenishtua uliposema urafiki wa kupika na kupakua(utata) nilifikiria mengine. Ila pia kukosa amani na performance kushuka sababu ya mwanaume mwenzako kukununia pia mmh why usimuambie achukue vitu vyake asepe bana, ghetto lako akuletee mambo ya vinuno aiii. Be a man, be strong.
 
Pole sana
IMG_20211002_070854.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mzee ukatoka kabisa na kwenda kumnunulia mchizi soda, bro? Kweli huu urafiki wenu ulikuwa wa kupika na kupakua. Anyway, time to move on.
 
Kwanza umenishtua uliposema urafiki wa kupika na kupakua(utata) nilifikiria mengine. Ila pia kukosa amani na performance kushuka sababu ya mwanaume mwenzako kukununia pia mmh why usimuambie achukue vitu vyake asepe bana, ghetto lako akuletee mambo ya vinuno aiii. Be a man, be strong.
Nafikiri kupika na kupakua, alimaanisha kupika na kupakua, si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom