Rafiki yangu alipata mpenzi kutokana na kanga hii

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Rafiki yangu mmoja alipata mpenzi bila ya tabu kutokana na kanga yenye ujumbe huu.Walipanga pamoja kwenye nyumba na siku moja alimpelekea kanga hii na kumwambia ni zawadi kwake.Siku ya pili alipokea ujumbe wa simu kuwa ombi lake limekubaliwa na anahitajika kwa ajili ya interview.Rafiki yangu alifaulu vema interview yake na tangu siku hiyo anakula mzigo.
 

Attachments

  • 039.JPG
    039.JPG
    21.4 KB · Views: 166
Hoja za Cccm bungeni zinatokana na wabunge wao kutumia manaeno ya kwenye kanga.
 
Hahahaaaa walahi kuna watu si wazima humu aisee,eti mkwaju Wa kwenye chupi mweeeeh!! Job true true!!
 
Back
Top Bottom