Rafiki yangu akanwa mbele ya "Mpenzi" wa mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yangu akanwa mbele ya "Mpenzi" wa mkewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngaliba Dume, Oct 19, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nina rafiki yangu wa karibu sana...yeye ana mwanamke aliyemuoa mkewe kwa mda wa mwaka mmoja hivi,lakini wakati akiwa nae,huyo dada alikuwa na mpenzi mwingine.Katika kuishi na mkewe kiukweli jamaa yangu alikuwa mbabe,mara kadhaa amempiga shemeji yangu,amemnyanyasa na kumtesa..lakini wakaoana!huyu mpenzi wa nje hakuwa anajua kuwa "demu" wake ameolewa,na kwa vile alikuwa anampenda mwanamke,anamtreat vizuri na kumpetipeti..yule dada akazama kabisa kwa mpenz wa nje,huku wakiendelea kuweka mpango ya ndoa na kuish pamoja Imetokea jamaa akagundua kuwa mkewe ana mtu nje,akamtafuta wake "mwizi" akampata,jamaa akakili kuwa hakujua na alikuwa na malengo sana na mpenzi wake,na mwanamke alipoulizwa akampa makavu mumewe kuwa hampendi,bali anampenda "mpenzi" na yupo tayali kwa lolote,ndoa imekuwa na taharuki,mwanamke asikii wala haelewi,anajuta kuwa na mumewe,mana hajui kwanin alimpenda,mana anahs anamnyanyasa na hampendi..amezama kwa mpenzi mwingine!Je hapo jamaa yangu muoaji afanye nini?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  ampe talaka kila mtu atafute ustaarabu wake.....halafu mfundishe kutreat wanawake vyema....waambie wanawake hawapigwi ngumi wanapigwa na rav 4 na mijengo ya maanan
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nilipofika hapo tu nilipohighlite nikapoteza muelekeo.......sijui nielekee wapi sasa......
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huna kuna wanaume wanapiga wanawake,mwanaume wa hivyo ni dhaifu na ana stress za ugumu wa maisha mwanamke hapigwi atii
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mwanamke alikuwa mistreated hivyo upendo wake kwa mumewe ukaondoka na kuhamia kwa nyumba ndogo. Mbaya zaidi mwanamke amekiri wazi kuwa hampendi huyo mumewe, hivyo kuendelea kumng'ang'ania hakuna tija maana mapenzi hayalazimishwi.
  Ni vyema akampa talaka ili kila mtu ajitafutie ampendaye!
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kila mtu ana makosa katika hili.

  Mwanamke,wakati anaolewa alikiri kuwa ataishi na mumewe katika shida na raha na katika shida ndio kuna kupigwa na manyanyaso mengine ambayo wanawake wengi wa siku hizi hawawezi kuvumilia tofauti na wanawake wa zamani ambao walikuwa wanaweza kuvumilia na ndio maana ndoa za baba zetu zilidumu kwa miaka mingi,mwanamke alitakiwa ajue kuwa katika ndoa kuna matatizo na yeye alitakiwa ajue namna ya kuweka mambo sawa na taratibu za kutatua matatizo zipo ila wanawake wengi siku hizi hawapendi kuzitumia,mbaya zaidi akaanzisha uhusiano pembeni jambo ambalo linamfanya awe na makosa makubwa kuliko hata mumewe.

  Mwanaume,unapooa ujue kuwa mwanamke si punching bag la kufanyia mazoezi hivyo si vema kumpiga mwanamke,hii huonesha udhaifu mkubwa kwa kila mwanaume ambaye anampiga mkewe,kuna njia nyingi za kumuadhibu mkeo si kumpiga hata kama kafanya kosa,pia kuoa si mwisho wa kumtumikia mkeo kwa kumpa mapenzi yaliyo bora ambayo yatamfanya asiwe na wazo la kwenda pembeni,ndoa mwaka mmoja tu imekwisha,hiki ni kituko na ni udhaifu mkubwa kwako mwanaume,kaa fikiri,rudi nyuma angalia ulijikwaa wapi rekebisha ndoa yako maana utaachwa wakati unapenda jambo ambalo litavuruga kila kitu kwako,onana na wazee haraka upate suluhisho maana mwanaume mwenzako ana silaha kali ya upendo ambayo wewe huna.

  Ndoa na iheshimiwe.
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mkuu sio wote hukiri hivyo atujuze ni ndoa ya wake wanne au wawili hapo tutaweza kusema apewe talaka au la
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Haijalishi ni ndoa ya watu wangapi, ndoa ni ndoa tu na kiapo ni kile kile tu hakibadiliki eti kwa sababu huyu ni mke wa kumi na moja au ishirini.
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  unalichukuliaje lile la wenzetu mke anafichwa ndani ndoa inafungwa nje anaambiwa tayari ondoka na mumeo hajui kilichoendelea?all in all sio wote hukiri kuishi kwa shida na raha ndugu
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mpaka mwanamke anakubali kuondoka na mumewe ujue tayari kakubaliana na masharti yote ya ndoa na hata akifika huko inabidi ayatekeleze tu na mojawapo ni kutoa huduma zote za chakula cha usiku kwa mumewe,mke akikubali kutoa chakula cha usiku siku aliyoolewa basi masharti yanayofuata kakubaliana nayo bila kinyongo.
   
 11. W

  Wakwetu Senior Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ili asiumize kichwa chake, amuache huyo mkewe, ni rahisi sana, kwani maisha hayataenda?
   
 12. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hebu waambie BT, mwanamke anapigwa na 'fimbo ya asili' tu
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mimi hizi huwa naziita mbwa kala mbwa hizi!
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  same to me. Nipo hapa njia panda.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  gravitational is not responsible for people falling in love - albert
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Huko huko ndani mwanamke huwa anafatwa na kuulizwa kama ameridhia na akikataa ndoa haifungwi. Usizungumze usichokijua.
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Msubirini Dr. Isack Maro anakuja.
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  "Mapenzi KIZUNGUZUNGU" by Abdul Kiba!!!!
   
 19. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dah! noma
   
 20. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45

  Ndoa hatakuwa na amani kamwe, ni bora akamruhusu huyo mwanamke aende kwa huyo mwanamme anayempenda.
   
Loading...