Rafiki wangu wa kike ni jini, nampenda sana, naye ananipenda sana

REALITY rafiki story yako ina makengeza sorry to say that na kwamba haina uhalisia wa asilimia 100 wale viumbe hawafanyi yao kwa jinsi ulivyoeleza wao hutoa amri tuu
Trust me huyo angekuwa jini kweli hata hii post isingekaa hapa...
Napafahamu Kibaha vema hasa picha ya ndege. .kuna wataalam pale hatari angalia usijekuwa umekutana na mwanamazingaombwe anakufanyia michezo
i know evil better than whatever you can predict or assume upon me
 
Thread ya kitoto iliyojaa uwongo inapata wachangiaji namna hii... Hivi Kutunga story za Uongo mtapata faida Gani nyie Acheni ujuha
ukichangia story ya uwongo unapata nini au unakuwa ndege john kimada wa marehemu faru john hopeless
 
Sasa mkuu unamtaka huyo mtoto atakayezaliwa hapo wa nini ili hali unajua hatokuwa binadamu wa kawaida!?
Uko tiyari kwenda chini ya bahati lakini kwenda kusalimia wakwe!? mi nawaza tu.
 
Wadau how are you ,nimempata mwanamke mmoja mitaa ya kibaha very pretty ila ni mwanga she can fly , bring precious stones, money, kill, fight and so many ila kwangu ni harmless maana ananipenda sana nami nampenda maana anidhuru ila kudrop hii post ni kitu kimoja ananiambia akinipatia mtoto wa kiume anataka atoe sadaka kwa falme zao of which mimi hapo tu napinga or else mpenz niliyekuwa naye kabla yake.

Nami kumwacha ni ngumu maana napata vingi kupitiliza anybody familiar with black forces ,think for a second kuwa yuko normal kama other women ila upande wa pili ndo mambo ya giza na nikimwacha i believe yupo on my back.
vjana tunapenda raha alakn inapofka muda wa kupewa reality ya jinsi starehe hzo znavpatkana tunakuwa wapole ghafla kama hv, kaka wewe kama ulikubal kuwa nae ukijua ni mwanga then huna tofaut nae but kama hukujua before then ur not at fault na hatua ya kuchukua ni kumchana tu mwanangu asa utafanyaje mtu mwnyw ndo ivyo yuko full kila idara..Muombe Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom