wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
- Thread starter
- #41
🤣hata hapo uwanjani pako jenga tu Merci
Kwakwel m ua tukienda kwenye mondi nashangaa ma jamaa zangu yananiulza mbona unyw lite au henken nawaaambia hil li bia m ndio na enjoy hata iwe n hotel 5 star fanya kile roho yako inafraiHusifanye kitu ili kumridhiza kila mtu,kwani kumbuka hutopendwa na kila mtu na ukifanya kitu ili kuwaridhisha watu basi utakuwa mtu wa kuumizwa kila siku.
Nakuelewa sana...Hahhaahhah