Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 572
- 160
Habari wapendwa, mi ni kijana wa kiume na nina umri wa miaka 29 na ni mwajiriwa wa taaisisi isiyo ya kiserikali, shuuli zangu nafanyia Dar es salaam na Arusha. Sina mke, sina mchumba, na sina mtoto!
Natafuta rafiki wa KIKE wa kuchat nae, alie tayari aniPM nitampatia mawasiliano yangu! Asanteni sana.
Natafuta rafiki wa KIKE wa kuchat nae, alie tayari aniPM nitampatia mawasiliano yangu! Asanteni sana.