Rafiki ni nguzo kikundi ni jitihada za mafanikio lakini si hivyo kwetu

Wewe n rafiki yake lakini yeye sio rafiki yako. Mbona ni simple tu we hama kapange mwenyewe kwa umri huo kukaa masela sio rahisi kama kipato kipo kwa wote.
 
Kaa ongea naye mwambie ni wakati wako sasa wa kuishi sehemu nyingine ila urafiki wenu uendelee kama kawaida.
 
Ukiendekeza ndugu, utavuna magugu..

Tatizo wengi tunakuwa waoga,,, tunaogopa Chuki zisizo na msingi,, hapo unahofia what if mkagombana then baadae akawa na maisha mazuri..!?

Mchane ukweli kuwa sasa mmekuwa wakubwa na mafahari wawili hawakai zizi moja so kila mtu ajitegemee...

Wanaume kukaa wawili ni ngumu sana kwa huo umri.
 
tumepanga nyumba sio chumba kila mtu ana chumba chakee right
 
Back
Top Bottom