Radio ya Kiisilamu yasema "Migomo ni chuki za wakristo juu ya JK..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio ya Kiisilamu yasema "Migomo ni chuki za wakristo juu ya JK..."

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Aug 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Asubuhi hii nilikuwa nasikiliza dokezo la kwanini kuna migomo siku hadi siku wachangiaji wengi walikuwa wakilaumu chama fulani ambacho kwa mujibu wao kina mlengo wa kikristo ndicho kinasababisha kwa kudai eti kilitamka radhi nchi hii chini ya JK kwa awamu ya pili haitatawalika

  Pia wakaendelea kubainisha kuwa tatizo sio CCM na serikali yake bali tatizo ni Rais JK ambaye ni muusilamu na wakristo hawapendi awe pale kwani anausimamia uisilamu sana...
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  wewe na hao uliowaskia akili zenu ndogo....
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...