Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,805
- 173
Abubakar Liongo yuko hapo, pamoja na Sudi Nnete, Flora Nducha na Charles Hilary pia walitokea hapo kabla ya kujiunga na BBC. Pia wakongwe, Othman Miraji, Mohamed Dahmam na Sekioni Kitojo wako pale. Wengine waliopitia hapo ni Erasto Mbwana, Nasoro Nsekeli, Flarian Kaiza, Jacob Tesha na Ummie Kheri, etc, etc, sasa sijui udini gani aliotaka kuuzungumza mleta mada!.
safi kabisa,
Something to argue kwa muanzisha mada, kiukweli binafsi sioni udini kabisa kwa thread hii.
Labda!