Radio Ujerumani (Deutsch Velle - DW) Idhaa ya Kiswahili Udini Mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Ujerumani (Deutsch Velle - DW) Idhaa ya Kiswahili Udini Mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Feb 1, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wasikilizaji wa mara kwa mara wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Ujerumani (DW) mnaonaje hakuna harufu ya udini pale? Sina haja ya kutaja udini wenye umeegemea wapi.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Fafanua!mimi huwa sisikilizi.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hakuna UDINI Radio ya Ujerumani yaoDW, mimi naangalia mpaka TV noana ni mambo ya Misri wanawake kwa watoto hawamtaki Muba
  Mambo ya Udini tuache tufuatilie Dowans tu

   

  Attached Files:

 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  mimi huwa naisikiliza kila siku na hakuna harufu ya udini hata moja ...wanaendesh mijadala yao kuanzia kina othman miraji na wengineo..sasa wewe kama una dukuduku litoe sio unatuletea fumbo hapa
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mtu huona anachotaka kuona na husikia anachotaka kusikia. Chombo chochote cha habari kinachokukwaza usikisikilize, na kama ni gazeti usilisome.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,528
  Trophy Points: 280
  Dumelambegu, kama ulivyouliza huku huna haja ya kuutaja udini wenyewe, haya si ndio majungu yenyewe?!.

  Huwezi kuleta unfounded allegetion ukitegemea support ya makuwadi wa inferiority complex ya udini!.

  Mode: Tuliwahi kushauri thread za uzushi zitendewe ipasavyo!?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwani inaendeshwa kwa kodi yako?? huyo aliyewalisha ujinga amewapatia kweli.
   
 8. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hivi hili pepo la UDINI litaisha lini? Kila kitu udini tuuu...... Hatufiki tuendako kwa hisia kama hizi.
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hata mimi, ila huyu Dumelambegu hakueleweka. Zaidi ya hapo udini ni DHANA, so wanaopenda mambo hayo ndo huishia ku-practice huo upupu ila sisi wengine shwaaaari, tuakula kitimoto pamoja hata valuuu na viroba vinatuparia wote wakristo, waislamu na hata ndugu zetu wapagani. Ukiachilia mbali mambo mengine mengi ya msingi tunayoshirikiana katika maisha yani hamna chokochoko zingine kama zinazoandikwa katika yale 'majarida' fulani hivi ati 'kina fulani wanjiandaa kwenda dai mgao wao bungeni waliodhulumiwa toka1961' Nimengundua kumbe waligawana na historia inapotosha kuwa kulikuwa na NATIONALIZATION OF PROPERTIES, AU?:horn:
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hebu tumpe nafasi muanzishaji mada, labda anayo yaliyojiri ktk idhaa hiyo nguli ya habari ambapo kaona atujuze..
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Post 33
  Thanked 2 times in 2 posts
  CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  crap!!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280

  Mkuu mpuuzi kama huyu umpe muda gani? zaidi ya kwamba anatupotezea muda wetu? this thread is RUBBISH.
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ninachowaomba ndugu zangu muendelee kusikiliza idhaa hiyo ya Kiswahili then tuta-revive hii discussion tuone watu watakuwa na maoni gani. Mwezi mmoja unatosha kubaini ninachoongea. Inawezekana ni kweli kwamba I am too much sensitive on religious issues lakini palipo na hali hiyo ni uhuru wangu kuongea. Watu wanaoweza kutusaidia sana katika suala hili ni watangazaji waliopitia DW lakini baadaye walihamia BBC. Kama wamo huku JF naomba watupatie data japo kwa ufupi. These include among others Charles Hilary, Flora Nducha, etc. Halafu angalia correspondents wao katika nchi zote za Afrika Mashariki na Kati uone kinachoendelea. Muhimu kujua ni kuwa kamwe Dumelambegu hawezi ku-post thread isiyo na data. Nilichotaka kujua ni kwamba je, na wenzangu wanaiona hali hiyo?
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  sawa............:roll:
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280

  Pls go straight to the point, hivi ni mpuuzi gani atumie mwezi mmoja kufuatilia udaku? you must be joking. tuelezeni waziwazi tatizo la DW ni ABCD......... OTHERWISE NENDENI MKANYWE KAHAWA.
   
 17. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi Abubakar Liongo yuko wapi vile?
  Kama ina-base kidini...ni dini gani sasa inayoegemewa na DW? Maana nakumbuka katika miaka ya 2001 ofisi za hawa jamaa kwa Dar zilikuwa pale jimbo kuu la DSM yaani nyuma tu ya st. Joseph na nilipata kufika na kuwaona, UDINI UPI HUO WALIONAO?
   
 18. a

  atina Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kuna mambo kibao ya kujadili, tukiendekeza mambo ya udini, au hata ukabila hatutafika popote,,,,
   
 19. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Asante Bw. Gosbert kwa kuliuona hilo.
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,528
  Trophy Points: 280
  Abubakar Liongo yuko hapo, pamoja na Sudi Nnete, Flora Nducha na Charles Hilary pia walitokea hapo kabla ya kujiunga na BBC. Pia wakongwe, Othman Miraji, Mohamed Dahmam na Sekioni Kitojo wako pale. Wengine waliopitia hapo ni Erasto Mbwana, Nasoro Nsekeli, Flarian Kaiza, Jacob Tesha na Ummie Kheri, etc, etc, sasa sijui udini gani aliotaka kuuzungumza mleta mada!.
   
Loading...