Radio Safina this is too much

Aisee umenikumbusha Mwabukusi. Yule mwamba nilimuelewaga sana kubabake. Mkuu ni kweli kuna shuhuda za uongo pale mitaa ya olasiti?
Bila shaka MWAMBUKUSI ni product ya Mbeya Injili ilipoanzia kwa hapa bongo
 
kuna baadhi ya wapuuzi humu wanapinga safina na ndo wa kwanza kwenda kwa waganga wa kienyeji.

Heri aendaye kumtafuta Mungu, kuliko amtafutae mganga wa kienyeji.
 
Usanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!

Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
Ana kijana wake anapiga vyombo hatar na malaya wa kutosha
 
Wale mimi siwaamini hata kdg maana wamekuja sana pale nyumbani, bibj kila siku kuwaekea mafuta kwenye magari yao waje wafanye maombi home lkn usanii mtupu
Siku nimeamini hawana lolote ilikua hivi nimemtumia mtoto wa mamdgo picha nimevaa baibui na nipo na mtoto na nimejitanda mtandio mweusi sasa bibi alikua hajamuona mtoto wangu kwa muda kwa sababu sikua nnimeenda arusha kama 3 yrs, yule mtoto wa mdg akamuonesh bibi ile pic ya mimi na mtoto basi bibi kamind kwa nini nimevaa kiislam lkn kamaind kimy kimya suluhisho ikawa ampigie huyo bariki wa safina kamuelezea alivoona pic yangu na muonekano nliokua nao,. Few months later nikaenda arusha , kma kawaida kawaekea mafuta kuja hom mimi nipo rum nasikia wanaongea baadae naitwa nimsalimie bariki, akaanza propaganda kaoneshwa na roho mtakatifu usiku wa jana yake nimevaa baibui na makorokoro kibao yasiyo na maana basi anahitji aniombee roho chafu sijui inayo niandama itoke, mimi nikamwambia i worship the true God ambae sio mpka nipitie wewe ndo anisafishe , binafsi nikimwita namwona kweny maisha yangu tena kwa ukubwa mno, akendeleza tararira zake pale baada ya kuona hana hoja akasema tumshukuru Mungu, nikaona mambo yasiwe mengi akaomba hata dakika mbili hazikuisha ila kama sio nilikaza nahisi angenieke mapepo yeye maana anakuona we mchafu ye msafi
Heri hata ulikataa asikuwekee mikono yao kichwan sababu kuna uwezekano wakukupandikiza mapepo
 
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
Ukiwa mwanachama kindaki ndaki na ukiwa unawapa viela vya nauli, ndizi shambani zikikomaa unawaza kuwapa wao, lazima waje unakua staff😂😂😂😂😂
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu
Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
 
Acha kujitafutia laana bure wewe na kizazi chako chote kwa kuandika usivyovijua. Kwenye haya mambo ya rohoni wewe ni kipofu, so mengine yakupite tu.
Acheni kujipa matumaini na mambo ya kijinga eti laana, huyo jamaa wa safina anafanya biashara kama biashara nyingine, mbona mmeshindwa kunuombea
 
Heri hata ulikataa asikuwekee mikono yao kichwan sababu kuna uwezekano wakukupandikiza mapepo
Yani baada ya kuona hana hoja ndo akasema tuombe shukran kwa Mungu lkn lazima alijuta kuonana na mimi na nadhani baada ya kuondoka watakua walikutana waombe tena pamoja kuniondolea mapepo😂😂😂😂
 
Wote Sio matapeli ni kweli
Matapeli kitu cha kwanza wanatanguliza hela mbele. Mara nunua upako, mafuta, chumvi, kitambaa n.k
Halafu wao hawafundishi mtu alijue Neno la Mungu/Biblia, wao ni miujiza tu.
 
Katika mikoa ambayo NEMC wanatakiwa kuwaokoa watanzania ni mikoa ya Mbeya,Arusha.Aisee makanisa yanapiga kelele usiku,sauna mchana huhu yakiwa karibu na makazi.Maspika makubwa na vipaza sauti ni yamefungwa waziwazi.NEMC saidieni hao watanzania jaman wamezidiwa na hizo kelele.
 
shetani ni roho hana mwili ana malaika zake/pepo wacha/roho chafu nazo hazilali kwa kuwa hazina miili.

Hizi roho chafu zinaishi kwa watu wachafu kama wazinzi, walevi, wezi, wachawi, wafiraji, waabudu sanamu, wenye husuda, wachonganishi n.k Ila zikikemewa kwa jina la YESU zinatoka kwenda kutafuta makazi mengine.
kwa nini amewaacha waendelee kufabya hayo au hana uwezo wa kuwateketeza ?
 
sasa kama ni uongo, mbona ninyi kina mama na wanawake ndo mnaongoza kudondoka kwa mapepo, makanisani mwao? na ndo huwa mnajaza makanisa yao.
Makanisa ya kina buldiza yanajaza wanawake Kwa vile wanawake wanatafta solutions za shida nyingi walizonazo plus uchungu na kutelekezwa na wanaume ni Rahisi mtu kudondoka kwa mApepo vile ana uchungu siku wanaume wakiwa responsible na jamii kumpunguzia mzigo mwanamke wa ulezi na mApepo ya wanawake yataisha
 
Back
Top Bottom