Najiuliza tu vp kulikoni Radio One pamoja na Capital Radio wamefuta vipindi vya dini ya kikristo siku ya jumapili.
Leo asubuh nilikua nasikiliza nikashangaa kipindi cha Kumepambazuka-Mazungumzo ya Familia kinachoendeshwa na Mwaipaya kinafika hadi saa 4.
Nakumbuka kuanzia saa 3 hadi saa 4 asubuhi kulikua na kipindi cha Tumshangilie Bwana ambacho kilikua kikiongozwa na Magreth Cosmas(sijui naye yupo wapi sikuhz manake simsikii tena ITV/Radio One)
Kwa upande wa capital radio wao walikua na kipindi cha Gospel Tracks kila jumapili saa 12 hadi saa 3 asubuh lakini nacho hakipo siku hizi.
Kiukweli hivi vilikua ni vipindi bora ambavyo wengi tunabarikiwa navyo kwani Mungu ndio kwanza mengine yanafuata.
Ukiangalia hata trends ya vipindi siku ya jumapili especially asubuh kwa radio nyingi za FM karibia zote wana vipindi vya dini.
Hapo mwanzo Radio One hawakuwa na kipindi chochote cha dini lakini baada ya maoni ya wadau hatimaye wakaanzisha kipindi cha Tumshangilie Bwana.
MY TAKE;Radio One pamoja na Capital FM rudisheni vipindi vya dini jifunzeni kusoma alama za nyakati