Radio One fm: Maxence Melo anazungumzia Sheria ya Makosa ya Mtandao

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yuko mubashara Radio One wanazungumzia sheria ya mitandao na makosa yake na hukumu.
 
Kwani kusema hivyo shida iko wapi.sio lazma wewe usikilize kisa umeambiwa
 
Tumemuelewa
Ni vyema kuwaambia watungaji pia sio zote ni sahihi
Tusiwaambie watu kuna sheria kuna sheria muwe makini mziogope etc
Ni wajibu wenu kuzipinga pia
Msizibariki zote kwani nyingi ya sheria hizo ni ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza
Kuweni mstari wa mbele kuzikemea pia
 
Back
Top Bottom