Radio na tv zinalipaje jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio na tv zinalipaje jamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Feb 2, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF nina fanyakazi ya consultants ya kuborehsa na kuinua kipato cha Radio na Tv kwa kudesgin vipindi vipya vyenye wapenzi wengi na vinavyolipa sana! Je, kuna ndugu yako au wewe mwenyewe una radio station au Tv station? Nipo tayari kufanyakazi na wewe kwa muda wa mapatano na kwamba kipato cha radio yako lazima kipande! Tuwasiliane please!ni MP
   
Loading...