Radio ipi ya TZ inarusha sauti ya Ujerumani leo?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,822
35,817
Binafsi kwa muda sasa nimekuwa na scan kupata kusikia radio za nje zinazotangaza matangazo yake kwa lugha ya kiswahili

Leo zote nizijuazo hakuna hata moja hata baina ya zilizo kuwa zinaendelea kurusha iliyorusha matangazo hayo hapa nchini

Tuelezane jamani au ndiyo ile munda ya TCRA inazidi kukamata vilivyo kuelekea Oct 28?
 
Back
Top Bottom