Radio Free Africa

Jazzie

Member
Jan 30, 2008
73
35
Wanajamvi,

Natafuta contact za Managing Director au Programming Manager wa Radio Free Africa. Nina business proposal nataka kumwagia sera. Nitashukuru kwa msaada.
 
Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
624
kwa nini usicheck number za ofisi katika mtandao wao, bila shaka itakua general line lakini ukiitwanga hiyo watakwambia namna ya kuwapata hao raia. . . ni wazo tu!
 
Jazzie

Member
Jan 30, 2008
73
35
kwa nini usicheck number za ofisi katika mtandao wao, bila shaka itakua general line lakini ukiitwanga hiyo watakwambia namna ya kuwapata hao raia. . . ni wazo tu!

Uswe, shukran kwa wazo. Ningeweza kupiga simu direct line, lakini nimejifunza kwamba Bongo ni "who you know, not what you know". Kwa hiyo nilikuwa natafuta direct connection na hao jamaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom