Radio Free Africa wakatisha matangazo ya sauti ya Ujerumani DW ghafla

Lugeye

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
1,679
2,915
Radio free Africa wakatisha matangazo Sauti ya Ujerumani DW Radio ,baada ya mchambuzi kuanza kuchambua utawala wa madikteta alianza kumzungumzia Jammeh, baadae akazungumzia isssue ya Zanzibar kua ccm ilishindwa kihalali kabsa lkn kwa kua kaka mkubwa sijui alikua anamaaanisha nini, yeye alikua na maslahi na serikali iliyokataliwa na wananchi ndo maana alimlinda aliyeshindwa wakati jamaa akimwaga madini ghafla radio Free Africa wakaweka tangazo, sijui kwanini ccm inaficha ukweli
 
Wabunge wameruhusiwa wafanye mikutano ya maendeleo kwenye majimbo yao, cha ajabu Mbowe na Mnyika hawajawahi kufanya mkutano wowote wa maendeleo jimboni.!!!!!!!
 
... Wewe mara ya mwisho kufanya kikao na familia yako kuweka mikakati ya maendeleo yenu ilikuwa lini vile??
 
Radio free Africa wakatisha matangazo Sauti ya Ujerumani DW Radio ,baada ya mchambuzi kuanza kuchambua utawala wa madikteta alianza kumzungumzia Jammeh, baadae akazungumzia isssue ya Zanzibar kua ccm ilishindwa kihalali kabsa lkn kwa kua kaka mkubwa sijui alikua anamaaanisha nini, yeye alikua na maslahi na serikali iliyokataliwa na wananchi ndo maana alimlinda aliyeshindwa wakati jamaa akimwaga madini ghafla radio Free Africa wakaweka tangazo, sijui kwanini ccm inaficha ukweli
Kwani huyo mchambuzi ana uhusiano na tume ya uchaguzi mpaka tumwamini?
 
Yaaaah!! Hatutaki uchochezi cc, kama swala la wahamiaji hko ulaya lnawashinda bac wakae kmya
NYAMBAFU

~Cmb
 
Sasa unashangaa nini wakati Mzee Antony Dialo mmiliki wa hiyo sahara media ni ccm, so hawezi kubali chama lake likosolewe kupitia chombo chake bora kubadili gear angani kuliko lawama.
 
Radio free Africa wakatisha matangazo Sauti ya Ujerumani DW Radio ,baada ya mchambuzi kuanza kuchambua utawala wa madikteta alianza kumzungumzia Jammeh, baadae akazungumzia isssue ya Zanzibar kua ccm ilishindwa kihalali kabsa lkn kwa kua kaka mkubwa sijui alikua anamaaanisha nini, yeye alikua na maslahi na serikali iliyokataliwa na wananchi ndo maana alimlinda aliyeshindwa wakati jamaa akimwaga madini ghafla radio Free Africa wakaweka tangazo, sijui kwanini ccm inaficha ukweli
Kwani RFA ni radio ya ccm?
 
Back
Top Bottom