deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Kwani hayo mashirika ya habari hua yanawalipa wenye radio hapa bongo? Je hulipwa kiasi gani usikute donge nono?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia wanalipia ,ila sins uhakika kama ni kweliKwani hayo mashirika ya habari hua yanawalipa wenye radio hapa bongo? Je hulipwa kiasi gani usikute donge nono?
Sent using Jamii Forums mobile app