Radio free africa na Redio nyingine za TZ badilikeni katika hili

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
1,808
2,000
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hii radio na radio nyinginezo,moja ya shida ambayo wasimamizi wa matangazo ambayo na amino ni kutokana na kuwa na shule kidogo ni juu ya kucheza matangazo.

Utakuta kuna kipondi kinaendelea labda habafi za ulinwengu za DW au BBC hawa watu badala ya kuzingatia weledi was Nazi,wanacheza matangazo wakati habari inaendelea .

Yani unasikiliza majadala wa maana ghafla unashangaa tangazo,au unakuta wimbo unacheza redion katikati linachezwa tangazo.

Yani huu ni usamba wa hali ya juu.

Acheeenii hizoo ,huu sio uungwana.
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
9,447
2,000
Hii hata Radio One inawatokea. Nadhani wanakua wamesha set time kwenye sysytem kwamba ikifika saa kamili au na robo au na nusu ni muda wa kucheza tangazo. Sasa kunapokua kuna kipindi (program) ambayo inaendeshwa na mtu aliyeko studio inakua rahisi kutoa taarifa kwa wasikilizaji kuhusu tangazo linalofuata

Shida inakua kwenye hivyo vipindi wanavyojiunga na Mashirika ya Habari ya nje kama BBC, DW n.k nadhani inakua vigumu kutoa hadhari hiyo hivyo kujikuta system tu ime pick na kutoa tangazo huku ikikatisha kipindi

Nakubaliana nawe kwamba hilo jambo linakera na sio professionalism ila sidhani kama linatokana na elimu ndogo ya watangazaji bali ni suala la maendeleo ya kiteknolojia zaidi
 
Inawezekana teknolojia,but huo in ushamba maana navyojua Mimi na kauzoefu kangu kwenye studio za redio,lazima kuwepo na msimamizi wa matangazo,ambaye huyu kazi yake pale studio ni kuhakikisha vipindi au kipindi kinaruka hewani sahihi bila shida.

Pia kazi yake ni kuunganisha redio yake na hizo redio za BBC au DW kila muda unapofika na kusimamia hadi mwisho.

Nachoweza kusema ,nadhani ni ushamba au kuendekeza pesa kuliko kujali wasikilizaji au pengine siku hizi haya mashirika hayatoi pesa za kutosha kwa ajili ya matangazo yao
 
AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
1,808
2,000
Walaum Ccm

Mara kadhaa hufanya kukatiza habari ikionekana mwiba kwa serikali

Wanajifanya kuweka tangazo, lakini ukweli huwa wanaficha watu wasiipate hiyo habari.

Ccm majanga
Duhh..sidhani kama iko hivyo,fuatilia utaona
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,470
2,000
Gonjwa hilo ni vigumu kuliponya kutokana na hatia waliyo nayo watangazaji.

Wao wanapewa maagizo tu, huyo msimamizi wa matamgazo siyo kwa Media za Tanzania, hapa bongo ni jina tu but kiutendaji hafanyi wajibu wake.

EXPERIENCE.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,391
2,000
Sasa hivi tunalazimika kurundika maving'amuzi ndani kisa ..

Azam
Dstv
Free dish
Nknk

Kila vichannel kisimbusi chake ....hovyo kabisa
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,391
2,000
Mtangazaji Wa zam mfano
DW wanamchambuwa Mr president negatively akaacha hewani watu wasikilize, kesho yake hana Nazi

Kulinda vibaruwa vyao ndio hapo wanajiongeza kwa kuzibaziba na matangazo ya biashara au kukatiza tu matangazo kwa muda.
 
Ni kweli lakini Mara nyingi na ambacho Mimi nahoji hapa unakuta mada haihusu hata tz lakini bado wanaweka tangazo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom