Radio Free Africa badala ya kijiunga na matangazo Uwanja wa Uhuru wamejiunga na BBC

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Hii radio free Africa imenishangaza kwani badala ya kujiunga na matangazo ya moja kwa moja kutoka katika uwanja wa Uhuru ambapo Mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli unaagwa wao wamejiunga na BBC na kuruhusu kuruka hewani kwa matangazo ya propaganda chafu dhidi ya Rais wa Tanzania.
Huu ni usaliti kwa Taifa.

By the way kuna sababu gani ya kuunganisha local radio na radio kutoka nje?

Inaeleweka kuwa Star Media ilibinywa sana na TRA na walitemeshwa mzigo.

MAGUFULI NENDA KWA AMANI MAANA HATA MARAFIKI ZAKO HUKUWACHEKEA.
 
Bora waruhusiwe kujiunga maana ni saa moja tu tusikilize kitu tofauti. Kusikiliza kitu kimoja kwa siku 21 ni ngumu Mimi hata radio za Tanzania kwa Sasa sisikilizi maana NI Jambo moja tuu HAKUNA la tofauti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom